1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baada ya uchaguzi wa Novemba 28, Kongo yaelekea wapi?

Othman Miraji17 Desemba 2011

Maoni Mbele ya Meza ya Duara wiki hii inatathmini uchaguzi wa pili wa kidemokrasia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mahala ambapo nchi hiyo ya Afrika ya Kati inaelekea baada ya uchaguzi huu unaolalamikiwa.

Kiongozi wa upinzani, Etienne Tshisekedi (kushoto) na Rais Joseph Kabila.
Kiongozi wa upinzani, Etienne Tshisekedi (kushoto) na Rais Joseph Kabila.Picha: picture alliance/dpa/DW-Fotomontage

Othman Miraji anawakusanya wataalamu na wachambuzi wa siasa za Afrika mbele ya Meza ya Duara ya Deutsche Welle kujadiliana juu ya hatima ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kutangazwa tena kuwa mshindi wa uchaguzi kwa rais wa sasa, Joseph Kabila Kabange.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW