Huko Zanzibar leo wagonjwa wamekuwa katika shida ya kupata dawa, licha ya kuwa na fedha za kununua dawa hizo, kutokana na srikali kufunga zaidi ya maduka 50 kati ya 65 yanayouza dawa baridi kwa sababu hayana wafamasia wa kuyaendesha.
Matangazo
Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Zanzibar Salim Said Salim.