1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bado Tupo: Heshima kwa Wazee

01:01

This browser does not support the video element.

28 Septemba 2018

Oktoba Mosi kila mwaka ni siku ya kuwaadhimisha duniani, kukumbuka mchango wao kwenye maisha yetu, nasi DW tunakuletea mfululizo wa ripoti za BADO TUPO kwa heshima ya wazee kote ulimwenguni. Msikilize hapa Bibi Joyce Gichuna mwenye umri wa miaka 78 kutokea Nairobi akikupa nasaha zake. Unamuangaliaje mzee kwenye jamii yako?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW