SiasaBaiskeli zaleta matumaini01:12This browser does not support the video element.SiasaJacob Safari28.03.201828 Machi 2018Waendesha baiskeli katika timu ya Afrika ya waendesha baiskeli wote wanaupenda mchezo huu baada ya kuikimbia Ethiopia. Mchezo huu unawapa motisha wa kutaka kufika mbali zadi licha ya matatizo mengi wanayopitia kama wakimbizi.Nakili kiunganishiMatangazo