1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAKU. Chama kikuu cha upinzani chapewa kibali cha mkutano

9 Novemba 2005

Chama Kikuu cha upinzani nchini Azerbaijan kinapanga kufanya mkutano mkubwa wa kupinga matokeo ya uchaguzi uliomalizika mwishoni mwa wiki ambao wasimamizi wa kimataifa wameutaja kuwa ulikumbwa na visa vya udanganyifu.

Serikali ya Azerbaijan iliyokuwa chini ya utawala wa zamani wa Usovieti imetoa kibali cha kuruhusu mkutano huo kufanyika lakini utawala huo umesema hautaruhusu mikusanyiko ya kila siku ambayo imepangwa na upinzani.

Polisi nchini humo hapo awali wemekuwa wakitumia nguvu kuivunja mikutano ya upinzani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW