JamiiBalaa la nzige huko Kenya02:33This browser does not support the video element.Jamii07.01.20207 Januari 2020Kwa kipindi cha wiki moja wakaazi wa majimbo ya Marsabit, Wajir na Mandera kaskazini mashariki ya Kenya wamekuwa wakishinda mashambani mchana kutwa kuwafukuza nzige wa jangwani ambao wamevamia mashamba yao. Si janga dogo! Tizama video hii. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo