1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAMAKO:Kiongozi wa waasi wa Tuareg kusitisha mapigano

19 Septemba 2007

Kiongozi wa waasi wa Tuareg Ibrahim Ag Bahanga anatangaza kuwa ataheshimu makubaliano ya kusitisha vita kuanzia saa sita usiku za London aidha kuwaachia huru baadhi ya mateka haraka iwezekanavyo. Kundi la kiongozi huyo limekuwa likishambulia jeshi la Mali kwa muda mrefu.Jeshi la Mali kwa upande wake linathibitisha kupokea ujumbe huo wa Ag Bahanga aliyezungumza na shirika la habari la AFP

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW