Kuna nchi kadhaa duniani ambazo hazina ukomo wa mwendo kasi barabarani, Ujerumani ni mojawapo ya hizo nchi. Mwandishi wa DW Lennart Attenberger leo anatazama jinsi mambo yalivyo katika barabara kuu za Ujerumani maarufu kama Autobahn ambapo madereva wanaendesha kwa kasi wanayotaka. Hali ikoje katika nchi yako?