Baraza la Mawaziri lavunjwa Comoro
18 Julai 2017Matangazo
Hatua hii, pamoja na masuala mengine, inatajwa kuwa inalenga kurahisisha mkakati wa rais wa kubadilisha katiba ya visiwa hivyo. DW imezungumza na mwandishi wa habari aliyeko Comoro, Aboubakar Omar, ambaye ameanza kuzungumzia sababu hasa za kufikiwa kwa hatua hii.