1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limerefusha muda wa vikosi vya kimataifa vinavyoongozwa na Marekani nchini Irak

1 Juni 2005

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limerefusha muda wa kusalia vikosi vya kimataifa vinavyoongozwa na Marekani nchini Irak.Wanachama wa baraza la usalama wamesifu mnaendeleo yaliyopatikana katika kuwaajiri,kuwapatia mafunzo na vifaa wanajeshi wa usalama nchini Irak.Taarifa ya baraza la Usalama inazungumzia matumaini ya kuwaaona wairak hatimae wakitwaa wenyewe dhamana ya nchi yao.Alikua waziri wa mambo ya nchi za nje wa Irak,Hoshiar Sebari aliyeliomba baraza la usalama lirefushe muda wa kusalia nchini Iraq vikosi vya kimataifa vinavyoongozwa na Marekani.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW