Bashir atemebelea Burundi05.11.20075 Novemba 2007Rais wa Sudan Omar al Bashir amekamilisha ziara ya siku tatu nchini Burundi ambako alitembelea mitaa mbalimbali ya mji wa Bujumbura.Nakili kiunganishiMatangazoHii ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo wa Sudan kufanya ziara nchini humo. Ziara hiyo ililenga kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.