Bei ya Umeme nchini Tanzania16.08.201116 Agosti 2011Huko Tanzania maisha ya wananchi yameendelea kukabiliwa na changamoto kutokana na mgao wa umeme na kupanda kwa bei za nishati.Nakili kiunganishiWatanzania wakabiliwa na shida ya umeme.Picha: Fotolia/PetooMatangazoJe watanzania wenyewe wanasema nini kuhusu hali hiyo? Haya ni baadhi ya maoni yao! Mwandishi: Josephat Charo Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman