1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BEIRUT: Duru ya nne ya uchaguzi wa bunge la Lebanon

19 Juni 2005

Wapiga kura nchini Lebanon hii leo katika duru ya nne na ya mwisho ya uchaguzi wa bunge wanawachagua wabunge wanaogombea viti vilivyobakia.Kiasi ya wapiga kura 700,000 kaskazini mwa nchi watawachagua wabunge 28 wa mwisho katika bunge lenye viti 128.Huu ni uchaguzi wa mwanzo kupata kufanywa nchini Lebanon tangu kuondoka kwa vikosi vya Syria nchini humo,baada ya kuwepo kwa takriban miaka 30.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW