1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Benki ya dunia yaipiga jeki Tanzania kuhusu Umeme

14 Desemba 2007

Benki kuu ya dunia imetoa mkopo wa zaidi ya dola za kimarekni million110 kwa Tanzania.Pesa hizo ni za kuimarisha huduma za umeme nchini humo. Mradi wa kuendeleza umeme utaimarisha huduma za umeme katika jiji la Dar-es-salaam,Arusha na Kilimanjaro.Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Benki kuu. Ya dunia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW