1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: Chama cha CDU chatoa hinikizo kwa chama cha SDP

4 Oktoba 2005

Katika mgogoro wa kisiasa unaoikabili Ujerumani, chama cha CDU kimetoa shinikizo kwa chama cha Kansela Gerhard Schröder SD. Kabla ya kuanza mazungumzo mengine hapo kesho.

Chama cha CDU kinataka mwenyekiti wake bi Angela Merkel awe kansela.

Katibu Mkuu wa chama hicho bwana Volker Kauder amesema mazungumzo hayo hayatafanyika ikiwa chama cha SDP hakitamtambua bi Merkel kama kansela.

Vyama hivyo vimekuwa vinafanya mazumgumzo juu ya kuunda serikali ya mseto.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW