1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN Kansela Gerhard Schröder akanusha uvumi

8 Juni 2005

Kansela Gerhard Schröder wa Ujerumani amekanusha uvumi kwamba anakusudia kujiuzulu wadhfa wake ikiwa kama kura ya maoni iatonyesha kuwa umaarufu wake umepungua.

Kwa mujibu wa uvumi huo kansela Schröder anataka kughairi mpango wake wa hapo awali juu ya kuitisha uchaguzi mkuu mwaka mmoja mapema.

Bwana Schröder pia amekanusha uvumi kuwa anakusudia kumuachia ukansela mwenyekiti wa chama cha SPD bwana Franz Müntefering.

Kansela Gerhard Schröder amevilaumu vyama vya upinzani kwa kueneza projo hizo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW