1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: Kodi zaidi kukusanywa

4 Novemba 2005

Wizara ya fedha ya Ujerumani imesema kwamba serikali kuu, za majimbo na za mitaa zinatarajiwa kukusanya kodi kiasi cha EURO bilioni 449.9 mnamo mwa huu.Kiasi hicho kinamaanisha EURO bilioni tatu zaidi kuliko ilivyotarajiwa hapo awali.Hatahivyo,wizara hiyo imesema, bajeti zote za umma zitaendelea kubanwa sana.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW