1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Berlin. Mwenyekiti mpya ateuliwa na SPD.

2 Novemba 2005

Chama cha Social Democrats kimemteua mwenyekiti mpya wa chama hicho. Gavana wa jimbo la Brandenburg , Mathias Platzeck , anaonekana kuwa atachukua nafasi hiyo baada ya kiongozi wa zamani Franz Müntefering kutangaza ghafla kuwa anajiuzulu.

Platzeck atateuliwa rasmi na viongozi wa chama kesho Jumatano.

Na baada ya hapo atagombea uenyekiti katika mkutano wa chama hicho utakaoanza Novemba 14. Müntefering alipoteza madaraka ndani ya chama hicho na kusema kuwa hatagombea tena kama kiongozi wa chama.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW