1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN : Schroeder afunguwa maonyesho ya utalii

12 Machi 2005

Kansela Gerhard Schroeder wa Ujerumani amewataka watalii wa Ujerumani kurudi kutembelea maeneo yalioathirika na gharika la Tsunami ikiwa kama njia bora ya kusaidia kuyajenga upya maeneo hayo.

Kansela alikuwa akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya Kitalii ya Kimataifa mjini Berlin.Maonyesho hayo ya utalii ni makubwa kabisa duniani na mwaka huu takriban washiriki 10,400 kutoka nchi 181 duniani wanaonyesha kile kilicho kipya katika ulimwengu wa kitalii.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW