1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN ; Schroeder apongeza mageuzi Nigeria

18 Machi 2005

Kansela Gerhard Schroeder wa Ujerumani amepongeza mchakato wa mageuzi nchini Nigeria.

Kufuatia mkutano wake na Rais Olesegun Obasanjo wa Nigeria mjini Berlin Schroeder amesema kubinafsishwa kwa uzalishaji wa mafuta na kwa nchi hiyo kutegemea kidogo mapato ya mafuta kumekuwa na matokeo mazuri kwa bara la Afrika.

Ikiwa ni mojawapo ya nchi za Kundi la Mataifa Manane yenye Maendeleo ya Viwanda Duniani G8 Kansela amesema Ujerumani itaunga mkono hatua za kufuta madeni ya Afrika.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW