1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Berlin:Bunge la Ujerumani limeikubali bajeti ya serekali kwa mwaka 2004...

29 Novemba 2003
baada ya kuweko majadiliano makali yaliochukuwa siku mbili. Vyama vya upinzani vya Christian Democratic na cha kiliberali cha Free Democratic vimemlaumu waziri wa fedha, Hans Eichel, kwamba amewasilisha mswada wa bajeti usiokuwa na msingi wa kikatiba, kwa vile serekali itakuwa na madeni makubwa zaidi. Waziri Eichel alisema madeni mepya ni ya lazima ili kuupiga jeki uchumi.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW