1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Berlin:Filamu ya Kichina, NDOA YA TUYA, inayoelezea mwanamke wa Mongolia aliye mfugaji wa wanyama pamoja na waume wake wawili imetunukiwa zawadi ya dhahabu kuwa ni filamu bora kabisa katika monyesho ya 57 ya filamu ya mjini Berlin.

18 Februari 2007

Nishani ya fedha kwa mchezaji sinema wa kike aliye bora kabisa alipewa Nina Hoss aliyekuwemo katika filamu ya Kijerumani, YELLA, na ambayo iliongozwa na Christian Petzold. Mchezaji sinema wa kutoka Argentina, Julio Chavez, alitunukiwa nishani ya fedha kwa mchango wake katika filamu ya jnina la El Otro.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW