1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Berlin.Ujerumani imepokea rasmi maombi kutoka Lebanon.

12 Septemba 2006

Ujerumani imepokea maombi rasmi kutoka Beirut ya kushiriki katika kuimarisha jeshi la kulinda amani la umoja wa mataifa kusini mwa Lebanon.

Ujerumani imependekeza kuongoza jeshi la kimataifa la wanamaji huko Lebanon.

Msemaji wa serikali huko Berlin amekataa kusema idadi kamili ya wanajeshi wa Ujerumani watakaopelekwa huko, lakini amesema baraza la mawaziri litaamua baadae wiki hii kupelekwa jeshi hilo mnamo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW