1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye akamatwa na apoteza wakili

Elizabeth Shoo29 Februari 2016

Kiongozi wa upinzani Uganda, Kizza Besigye, amekamatwa tena na polisi. Ni muda mchache kabla ya kutaka kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi. Aidha, wakili wake mmoja amesema hatamwakilisha tena.

Mabango ya kampeni Uganda: Kizza Besigye
Picha: Getty Images/AFP/I. Kasamani

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW