1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye azuiwa kurudi Uganda?

11 Mei 2011

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, anatarajiwa kuwasili nchini Uganda leo jioni baada ya kucheleweshwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyata nchini Kenya na kuikosa ndege aliyopaswa kuondoka nayo awali.

Kizza BesigyePicha: AP

Mapema mashirika mbalimbali ya habari yalikuwa yamewanukuu baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha Besigye, Forum for Democratic Change (FDC), kwamba kiongozi wao alikuwa amezuiwa uwanja wa ndege jijini Nairobi kwa amri ya serikali ya Uganda.

Halima Nyanza amezungumza na Mkuu wa Ulinzi wa FDC, Salim Angoliga, kuhusiana na kile hasa kilichotokea na hali kwa ujumla.

Mahojiano: Halima Nyanza/Salim Angolinga
Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW