1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biashara ya huduma ya bodaboda mtandaoni nchini Kenya

03:10

This browser does not support the video element.

5 Agosti 2020

Kutana na msichana Ana Oyoo ambaye licha ya ulemavu wake ameanzisha kampuni ya kusafirisha bidhaa mitandaoni nchini Kenya. Huduma hiyo inatumia pikipiki kusafirishia bidhaa za wateja au hata kumpeleka anayehitaji kufika kwa haraka, lakini anaunganishwa kwa njia ya mtandao.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW