JamiiBiashara ya kubadili rangi ya ngozi Afrika02:21This browser does not support the video element.JamiiBruce Amani17.08.201817 Agosti 2018Barani Afrika, biashara ya kubadili rangi ya ngozi imenoga, licha ya kuongezeka kwa vuguvugu la kuonyesha urembo wa asili ya watu weusi. Wanawake na wanaume hununua krimu ambazo hufanya ngozi kuwa angavuNakili kiunganishiMatangazo