1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bibi anayekuza tamaduni mjini Harare

02:31

This browser does not support the video element.

14 Novemba 2018

Ana umri wa miaka 78 na lengo lake ni kuona kizazi cha sasa na cha kesho kinafahamu na kuenzi utamaduni wa Zimbabwe. Ndiyo sababu ameanzisha kijiji cha kukuza utamaduni katika mji wa Harare. Fahamu mengi zaidi kuhusu bibi huyu kwa jina Hatifari Munongi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW