1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bibi wa miaka 87 anaeuza baa

01:23

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
20 Julai 2018

Hildegard ni bibi wa Kijerumani mwenye miaka 87, na kwa miaka 70 amekuwa akiendesha baa yake binafsi. Anakadiria kuwa keshamimina gilasi za bia zipatazo milioni moja maishani mwake. Lini atafunga biashara ya baa apumzike? Msikilize jawabu lake kwenye vidio hii.