1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biden azidi kupongezwa kwa ushindi licha ya Trump kukataa kukubali kushindwa

01:06

This browser does not support the video element.

9 Novemba 2020

Wakati viongozi mbalimbali duniani wakimpongeza Rais mteule wa Marekani Joe Biden, Rais wa sasa Donald Trump, hadi sasa hajayakubali matokeo kwa madai kwamba kulikuwa na udanganyifu kwenye uchaguzi.