Peter Kiberenge ni muasisi wa kikundi cha ‚Nguvu Kazi‘ mjini Mwanza, ambaye sera yake ni kuwahamisisha vijana kutoka makundi mabaya kama madawa ya kulevya, ujambazi na ubakaji ili kila mtu apate kujitegemea.
Picha: Rebelle - le film
Matangazo
„Vijana! - Bila juhudi hakuna maendeleo.“
This browser does not support the audio element.
Kusikiliza makala ya Vijana Tugutuke bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.