1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BILL CLINTON NA WAHANGA WA TSUNAMI

22 Februari 2005

Hong Kong, baada ya ziara yake ya siku 4 ya nchi zilizokumbwa na maafa ya balaa la desemba 26 mwaka jana, Clinton kuna kazi kubwa zaidi inayobidi kufanywa katika maeneo yaliokumbwa na maafa.

Bill Clinton na rais wa zamani George Bush senior, baba wa rais wa sasa, wameteuliwa kuongoza juhudi za misaada za kibinafsi za wamarekani kwa wahanga wa Tsunami yaliozikumba nchi 11 za Asia na afrika.