1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bima ya afya kwa watoto Tanzania imefutwa?

14 Machi 2023

Kuna mijadala Tanzania kuhusu ustawi wa watoto kiafya kwa zingatio la sekta ya afya nchini humo baada ya kusambaa kwa taarifa ya Mfuko wa Bima ya Afya - NHIF, kufuta bima ya afya kwa watoto, "Toto Afya Kadi."

DW-Beitrag | Tansania Masernimpfung
Picha: DW

  

J2.14.13.2023Tanzania: NHIF cancels children insurance - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW