MichezoBingwa wa Miereka Syria01:23This browser does not support the video element.Michezo02.01.20182 Januari 2018Japo aliikimbia nchi yake ya Syria inayozongwa na vita akaenda Misri, Amir Awad aliendeleza ari yake katika mchezo wa miereka. Akawa bingwa aliyeyashinda mataji mbalimbali akichezea timu ya taifa ya miereka ya Syria.Nakili kiunganishiMatangazo