1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Jasiri: Binti Mwandishi wa Vitabu

04:47

This browser does not support the video element.

21 Julai 2023

Katika umri wa miaka nane tu anaandika, vitabu kuhusu utalii wa Tanzania pamoja na utunzaji wa Mazingira anatamani kuona mazingira yakiwa safi ili wanyama wanaofugwa na wale wa porini wawe salama lakini pia kuwa Mwandishi mkubwa Duniani ili kuwasaidia watoto wengine kuziishi ndoto zao. Ilikuwa fahari kwake kukitambulisha kitabu chake kwa wenzake na kupokelewa vizuri.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW