1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BONN : Wimbi la joto laendelea barani Ulaya

20 Julai 2006

Nchi za Ulaya zimekumbwa na wimbi la joto kali.Nchini Ujerumani,Jumatano ilikuwa siku ya joto kali kabisa katika mwaka huu,nyuzi joto imefikia kiwango cha 38.6.Ufaransa,Hispania na Uholanzi zimeripoti vifo vilivyosababishwa na joto kali linaloendelea.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW