Janga
Boti yazama Visiwani Zanzibar
5 Aprili 2017Matangazo
Kabla ya ajali hiyo, Mamlaka ya Hali ya Hewa ilikuwa imetoa indhari kwa wasafiri. DW imezungumza na Kamanda wa Kaskazini Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi Hasina Ramahani Tawfiq, kufahamu taarifa zaidi ya tukio hilo na kwanza anaelezea tukio lilivyotokea.