1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BRUSSELS: Umoja wa Ulaya na syria zimeafikiana juu ya mapatano ya ushirikiano.

10 Desemba 2003
Hii inafuatia miaka 5 ya majadiliano.Mjumbe wa UU Christian Leffler amewaambia maripota mjini Damscus kwamba mapatano hayo yatahusika na sekta mbali mbali pamoja na biashara,maendeleo ya jamii na ushirikiano wa kisiasa.Mapatano hayo ya ushirikiano yangali yanabidi kuidhinishwa na serikali za pande zote mbili.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW