1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BRUSSELS:Umoja wa Ulaya kusaidia zaidi nchini Lebanon

26 Julai 2006

Umoja wa nchi za Ulaya utatoa msaada wa nyongeza kiasi cha Euro milioni kumi kwa ajili ya watu wa Lebanon.

Msaada huo wa nyongeza unafuatia mwito uliotolewa na Umoja wa Mataifa juu ya kuchangisha kiasi cha dola milioni 150 kwa ajili ya watu wa Lebanon.

Mapema wiki jana Umoja wa Ulaya ulitangaza msada wa Euro milioni 10.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW