Bundesliga imerejea tena uwanjani huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakianza kwa kishindo kwa kuiadhibu Werder Bremen 6-0
Picha: picture-alliance/dpa/J. Woitas
Matangazo
Bundesliga yatifua vumbi
This browser does not support the audio element.
Jiunge na mwanamichezo wako Josephat Charo ujifunze mengi kuhusu yaliyojiri katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, na katika viwanja vya soka barani Ulaya.