Bunge la Kenya lampinga Bw. Aron Ringera
18 Septemba 2009Matangazo
Rais Mwai Kibaki aliwaongezea muda wa kuhudumu kulingana na mamlaka aliyonayo. Jane Nyingi alizungumza na mchambuzi wa maswala ya kisiasa nchini Kenya Profesa Kimani Njogu na kwanza anaeleza alivyopokea kujiuzulu kwa Bw. Smokin Wanjala.
Mwandishi: Jane Nyingi
Mhariri: Mohamed Abdulrahman