Vyombo vya habariBuriani gwiji la habari Mohammed Abdulrahman05:03This browser does not support the video element.Vyombo vya habariHawa Bihoga16.07.202516 Julai 2025Mohamed Abdulrahman, aliyekuwa mhariri na naibu msaidizi wa mkuu wa DW Kiswahili, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Cologne akiwacha nyuma yake alama isiyofutika kwenye tasnia ya uandishi wa habari.Nakili kiunganishiMatangazo