Tanzania yampoteza muasisi wa demokrasia ya vyama vingi, rais wa awamu ya pili Hayati Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia kutokana na kuugua saratani ya mapafu akiwa na miaka 98. #kurunzi
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.