Burundi yajiandaa kwa uchaguzi wa bunge Ijumaa ijayo
19 Julai 2010Matangazo
Mchakato wa matayarisho ya uchaguzi nchini Burundi sasa umeshika kasi na tayari waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Kiafrika wako nchini humo kutathmini hali itakavyokuwa katika uchaguzi huo wa bunge utakaofanyika siku ya Ijumaa wiki hii.
Mwandishi, Hamida Issa , Moss
Mhariri, Josephat Charo.