SiasaBurundi yakanusha watu wakimbia nchi10.02.201710 Februari 2017Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi UNHCR ametakiwa kujieleza kwa Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kusema watu 500 wanaikimbia Burundi kila siku kuepuka machafuko ama njaa.Nakili kiunganishiPicha: DW/K. TiassouMatangazoJ3 10.02 Burundi OCHA/UNHCR - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.