CAIRNS: Ajali ya ndege kaskazini mwa Australia
7 Mei 2005Matangazo
Kuna khofu kuwa hadi watu 15 wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea kaskazini mwa Australia.Wakuu wa huduma za kuokoa waligutuka baada ya ndege hiyo kukosa kuwasili kule ilipokuwa ikitarajiwa.Helikopta ya kuokoa imeona mabakio yalioshika moto,katika eneo la mbali kwenye jimbo la kaskazini.