1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CAIRO.Kifungo cha miaka 15 jela kwa ujasusi

22 Aprili 2007

Mahamaka ya mjini Cairo imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 15 jela kwa mtu mwenye uraia wa Misri na Canada kwa kupatikana na hatia ya kufanya ujasusi kwa niaba ya Israel.

Mtu huyo bwana Mohammed al -Attar amedaiwa kufanya ujasusi kwa ajili ya shirika la upelelezi la Israel Mossad.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW