1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CDU/CSU na SPD waafikiana juu ya sera ya wahamiaji

00:53

This browser does not support the video element.

6 Julai 2018

Vyama vinavyounda serikali ya muungano nchini Ujerumani vimekubaliana juu ya sera ya wahamiaji na kuumaliza mvutano uliokuwa unatishia kuivunja serikali inayoongozwa na Kansela Angela Merkel.Pendekezo la Horst Seehofer la ujenzi wa vituo vya kuzuia wakimbizi mpakani halipo tena.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW