Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema maandamano yaliyopangwa kufanyika Oktoba Mosi yatasogezwa na kufanyika tarehe isiyojulikana. Hawa Bihoga anaripoti kutoka Dar.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman MbowePicha: DW/H. Bihoga