1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema yadai kuhujumiwa Tanzania

01:10

This browser does not support the video element.

21 Agosti 2018

Chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kimesema hakiridhishwi na mwenendo wa chaguzi ndogo zinazoendelea Tanzania, kutokana na mbunge wake mteule wa jimbo la Korogwe kuondolewa katika kinyanganyiro hicho na kufanya mgombea wa chama cha mapinduzi kupita bila ya kupingwa. Msikilize Salimu Mwalimu ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho kwa Zanzibar.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW